Header
rumuli

ISSN 0865-6941

Toleo Na. 307

Machi 2016

rwoma

"Iweni Mtu Mpya" - Ujumbe wa Pasaka

Wapendwa apendwa katika Bwana, "Heri kwa Sikukuu ya Pasaka". Ujumbe wangu wa Pasaka wa mwaka huu 2016 umejikita katika upyaisho kwa njia ya maboresho ya maadili, uongozi, uaminifu na haki kama sehemu ya njia ya kuzuia kuota kwa majipu. Endelea...

majaliwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atembelea Wilaya za Missenyi na Karagwe.

Na Sylvester Raphael
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiendelea na ziara yake Mkoani Kagera tarehe 14/03/2016 alitembelea Wilaya za Missenyi na Karagwe.

kilaini

Historia ya Kagera na Watu wake


Askofu Method Kilaini
kaitaba

Kaitaba Studium yaelekea kukamilika

Hatimaye matengenezo ya uwanja wa mpira wa miguu wa mjini Bukoba - Kaitaba Stadium yanaelekea mwisho.

Omugasho gw'okubika Empanika


Waitu mwami n'omwamikazi, katushongonge aha bikwete empanika (omurushwahili bagila bati – 'AKIBA').



majaliwa

Waziri Mkuu Majaliwa azinduwa kiwanda cha maji ya Bunena

Kiwanda hicho kinamilikiwa na Jimbo Katoliki la Bukoba

Jipatie Nakala Yako
Anuani:
Rumuli Printing Press
P. O. Box Private Bag, Bukoba
Cell:+255784-440 159 au +255768 - 761 270
Fax:2222113
E-mail: rumulipaper@hotmail.com

Contact Information
Bishop's House Ntungamo,
P.O.Box Private Bag,
Bukoba, Tanzania.
Tel. & Fax. 028 - 2220746
Office: Tel. 028 - 2220194
E-mail: b.officebk@yahoo.com
Website: www.bukobadiocese.co.tz
© Bukoba Catholic Diocese 2023
Find us on
Facebook: Bukoba Catholic Diocese
Twitter:  @bcdcatholic